Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali
za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango
cha chuma kinachoweza kupatikana kwa kuchimbwa eneo la Liganga, wilayani Ludewa
mkoani Njombe alipotembelea karakana ya kampuni ya Kichina ya Tanzania China
International Mineral Resorce Ltd, inayofanya uchunguzi huo. Anayempa maelezo
ni Meneja Utawala wa kampuni hiyo, Tao Jian. Kushoto ni Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Tao
Jian akiwaonyesha Kinana na msafara wake, ramani linalofanyiwa kazi na kampuni
yake katika kutafiti aina na kiasi cha Chuma kitakachoweza kupatikana Liganga
Mabosi
wa Kampuni ya Kichina inayofanya utafiti wa aina na kiasi cha chuma
kitakachopatikana Liganga, wakitoa maelezo ya jumla kuhusu mradi huo
unavyoendelea.
Kilima
cha madini ya Chuma, kinavyoonekana kwa mbali eneo la Liganga
0 comments:
Post a Comment