Wednesday, 16 July 2014

SANTOS AANZA KAZI YANGA SC LEO, MAXIMO AMPA DARASA TOSHA


Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC, Marcio Maximo akizungumza na kiungo aliyekuja majaribio katika klabu hiyo, Mbrazil mwenzake, mshambuliaji Geilson Santos Santana 'Jaja' asubuhi ya leo kabla ya kuanza kwa mazoezi Uwanja wa sekondari ya Loyola, Mabibo, Dar es Salaam. Jaja aliwasili jana mchana akitokea Brazil.


Wachezaji wa Yanga wakikimbia taratibu 

0 comments: