Katika takwimu zilizotolewa na Tume ya uchaguzi zimeonyesha kuwa DAR ES SALAAM inaongoza kwa kuwa na wapiga kura wengi kuliko mikoa yote ya tanzania yenye idadi ya wapiga kula 2,775,295, na yapili nimkoa wa MWANZA yenye idadi ya waipa kura 1,448,884 na ya tatu nimkoa wa MBEYA wenye wapiga kura 1,397,653
Na katika tafiti ndogo zilizo fanyika zimeonyesha kuwa mikoa hii Mgombea uraisi kupitia chedema (ukawa) Edward lowasa anapendwa sana/zaidi kuliko mioka mingine ikiwemono ARUSHA ,MANYARA, KILIMANJARO, TANGA hizi pia nimikoa anayo ppendwa
Hivyi basi iwapo kama Lowasa akishinda kwa kishindo katika mikoa hii sita au saba 6au7 anaweza kuwa Raisi wa TANZANIA kwa kuwa ndiyo miokoa amabayo ina inadadi yawapiga kura, ukiangalia kwa kawaida ktika siasa hivi sasa lowasa anaongoza kuwa na watu wengi katika ngampeni zake katika mikoa hii iliyo tajwa
0 comments:
Post a Comment