Saturday, 17 October 2015

Angalia Ozil alivyo aadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika namna yakipekee

Mesut Ozil akizima mishuma katika keki kama ishara ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Mesut Ozil akizima mishuma katika keki kama ishara ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil  leo ametimiza umri wa miaka 27 na ameamua kuiadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa kuwashukuru mashabiki wake kwa support na pongezi  anazozipata katika mitandao yakijamii.
Kocha wa Klabu ya Arsenal, Arsene Wenger,anaamini msimu huu utakuwa wa mafanikio kwa Ozil,  baada ya kuonyesha kiwango bora katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Man Utd.
Kocha wa Klabu ya Arsenal, Arsene Wenger,anaamini msimu huu utakuwa wa mafanikio kwa Ozil, baada ya kuonyesha kiwango bora katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Man Utd.
Katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa baada ya kuisaidia kikosi chake cha timu ya taifa ya Ujerumani kufuzu michuano ya Euro 2016 mwanzoni mwawiki hii, Ozil aliposti picha katika akaunti yake ya Instagram ukiambatana na ujumbe huu,
‘One year older yet again! Thank you all so much for your birthday messages! Here’s to another great year…#bestfansworldwide #thankyou #happyMesut #birthday.’

Related Posts:

0 comments: