Umoja
wa wanawake Tanzania (uwt) wilaya mbeya
mjini kimefanya kikakao cha baraza la uwt(
w) kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa ccm
kata ya sisimba mkoani mbeya ,kikao hicho kilihudhuri na wenye
viti wa uwt kata na wajumbe wa wiliya wa umoja huo
Malengo
ya kikao hicho ni kumkalibisha katibu mpya wa uwt mkoa,kuimalisha uhai wa umaja
huo,kuahamashana kwa shughuli mabalimabali za umoja huo na kuanzisha miradi ya
uwt wilaya
Uwt wilaya ya mbeya mnjini wamemmpokea kwa
mikono miwili katibu wao mpya wa umoja
huo bibi MARIMA YUSUFU katika mkoa
mbeya, hii nibaada ya mabadiriko ya umoja huo ulio fanyika hapa nchini
bi mariam amechukua na fasi TABU
RUGWESYA alikuawa katibu wa UWT mkoa wa
mbeya
Katika
kikao hicho bibi mariam meowamba
wanawake wote, na wanyeviti wa kata kuitisha vikao kulingana na katiba ya chama
inavyo sema hii tawaondolea migogoro
kwani vikao ndio suluhisho la matatizo katika umoja wao,
Pamoja
na hayo amewataka wenyeviti wa kata
kufanya ziara mara kwa mara ili
kuelimisha kuhusu kinachofanyika katika
serikali yao hali itaweza kuwafanya wanachama kutambua umuhimu wao katika nchi
yao,bibi mariam asema’’ bila ziara na kufanya vikao kuwafuata wananchi walipo hatuta jenga umoja wetu wa wanawake
“
kwa
upande mwingine omeongelea kuhusu kuazisha mirada ya chama amesema wanawake waombe mashamba, viwanja na
miradi mingine ili waweza kuendesha chama na kujinua wanawakwe kiuchumi katika
mkoa wa mbeya na wanawake wote Tanzania
kwa ujumla pia amewasa wanawake kujiamini na kujiunga na taasisi za
kifadha au kuanzisha saccos,au banki ili ziweze kusadia na
familia zao hii itawajengea kuijimalisha kifamilia,kijamii na kiuchumi pia
Bibi
mariam ameowamba madiwani wanawake wanatakiwa kuwawakilisha
wanawake wote Tanzania, na kazi kubwa ni kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwa kufanya mikutano kwa kuwaelekeza kitugani serikali ya chama cha
mapinzuzi kilichofanya nahii itasaidia wananchi kutambua wajibu wao,madiwani
wanakazi kubwa sana ya kuelimisha wananchi wa kata zao
Pia
madiwani wa viti maalum kuwaelimiasha wanachama kuhusu ulipaji wa ada ambyo
nishilingi 1200 kwa mwanachama mmoja kwa mwaka , kwa kuwa madiwa ni wana ushawishi mkubwa sana
kwa wanachama wao
Bibi
mariam amesama kuwa yuko tayari kufanya kazi na wanawake wa mkoa
wambeya na Tanzania kwa ujumla
kwa kushikiana na wanawake wamikoa mingine ya tanzania
Naye
katibu wa uwt wilaya ya mbeya mjini bibi SIFA AMIDU ALIMASI amesema kuwa
amefurahi kutembelewa na katibu mpya katika wilaya ya mbeya na wanamkaribisha kwa mikono miwili na wapo tayari kushirikiana
naye ili waeweze kufikisha mipango na malengo
ya umoja huo wa uwt,pamoja na hayo bibi sifa amidu asema kuwa malengo makubwa ya UWT ni kuwainuwa
wanawake kiuchumi na kuwatangezea mazingira mazuri ya kujiamini katika utandaji
wa kazi zao na kutatua matatizo na migogoro ya hapa na napale, pia amewataka
wanawake wote wa wilaya ya mbeya na mkoa
kwa ujumla kujiunga na umoja huo ili kujikwamua kichumi
Bibi sifa Omeongeza kuwa wanawake kupendane na kuungana mikono
husasana katika kipindi cha uchaguzi
ili kuweza kufikisha hasilimia hamsi kwa hamisi, wanawake wawe
na wivu wamaendeleo na kuondoa kuchafuana wenyewe kwa wenyewe
Kwa upande wake mwenyekiti wa wanawake madiwani wa viti maluum mbeya mjini bibi AGNESS MANGASILA asema kuwa wameupokea wito wa
katibu wa uwt mkoa na kuahidi kuwa madiwani wata fanya kazi kwa kufanya
vikao na mikitano ya mara kwa mara kwa
wananchi wao ili kuelimisha kuhusu
serikali yao
0 comments:
Post a Comment