Jamaa
huyu asie na roho ya huruma akimmalizia mtuhumiwa na bonge la tofali!
Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana
baada ya kibaka huyu kubahatika kukuta raia mwema kasahau kufunga
mlango, Kibaka akazama ndani na kuchukua begi languo taratiiibu kama
lake! Hakuridhika na begi alivyotazama pembeni akaona simu akaihifadhi
mfukoni kiaina! Ile kutokanje tu akakutana na wenye nyumba uso kwa
uso!!!
Hapo
ndipo mbio za marathon zilipoanza!!!!! Watu mwiziii mwiziiii mwiziiiiii
mwiziiiiiiiiii!!!!! Jamaa akabahtika kujisweka kwenye jumba bovu
lililoko uchochoroni na kuinusuru roho yake, Raia wenye hasira kali
hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo wakajadiliana na kukata tamaa
wakati wakirudi majumbani kwao mara ghafla! Kurupu! Jamaa akachomoza
kwenye dirisha la lile jengo bovu alilojificha, Harakati zikaanza
upyaaaaaa!!!!! Aaaa... Anko jambazi hakuchukua raundi akatiwa mikononi.
0 comments:
Post a Comment