Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Mkurugenzi Mkuu wa
Idara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Jimbo la Xiamen Hong
Chengzong,katika uwanja wa Ndege wa Mji huo Nchini china,akirejea
Zanzibar baada ya kumalizika ziara yake nchini humo jana
0 comments:
Post a Comment