Louis van Gaal ametangaza Kikosi cha Wachezaji 25 wa Manchester United ambao Leo hii anasafiri nao kwenda huko Marekani kwa ajili ya Ziara yao kabla Msimu mpya kuanza.
Miongoni mwa Kikosi hicho ni Wachezaji wapya Ander Herrera na Luke Shaw lakini Kiungo mkongwe Michael Carrick hayumo baada Juzi kuumia enka Mazoezini na kulazimika kufanyiwa operesheni itakayomweka nje kwa karibu Miezi Mitatu.
Kikosi hicho ni mchanganyiko wa Wachezaji wazoefu na wengine ni Vijana toka Timu ya Pili.
Huko Marekani, Man United watacheza Mechi 4 na ya kwanza ni Julai 23 dhidi ya LA Galaxy ya USA kuwania Chevrolet Cup.
KIKOSI KAMILI:
Makipa: David De Gea, Anders Lindegaard, Ben Amos, Sam Johnstone.
Mabeki: Rafael, Jonny Evans, Chris Smalling, Phil Jones, Luke Shaw, Tyler Blackett, Michael Keane, Reece James.
Viungo: Ander Herrera, Tom Cleverley, Darren Fletcher, Ashley Young, Wilfried Zaha, Shinji Kagawa, Juan Mata, Antonio Valencia, Nani, Jesse Lingard.
Mafowadi: Danny Welbeck, Wayne Rooney, Will Keane.
USA-ZIARA YA KABLA MSIMU MPYA:
[Zote Nchini Marekani]
**Saa za Bongo
Jumatano 24 Julai 2014, Rose Bowl, Pasadena
0606 Manchester United v LA Galaxy
Chevrolet FC Cup
Jumamosi 26 Julai 2014, Sports Authority Field, Denver
2306 Manchester United v AS Roma
International Champions Cup
Jumanne 30 Julai 2014 [Usiku wa 29 kuamkia 30], FedEx Field, Washington DC
0230 Manchester United v Inter Milan
International Champions Cup
Jumanne 02 Agosti 2014, Michigan Stadium, Ann Arbor
2306 Manchester United v Real Madrid
International Champions Cup
Jumanne 12 Agosti 2014, Old Trafford
REUNITED14
2130 Manchester United v Valencia

0 comments:
Post a Comment