NI
Ujerumani. Ujerumani imetwaa ubingwa wa dunia, baada ya kuiangusha
Argentina kwa bao 1-0 katika mchezo wa Fainali Uwanja wa Maracana mjini
Rio de Jeneiro, Brazil.
Shukrani wake, Mario Gotze aliyeingia kuchukua nafasi ya Miroslav Klose dakika 88, aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 112.
Hilo linakuwa taji la tano la Kombe la Dunia kwa Ujerumani na sifa zimuendee kipa Manuel Neuer aliyeokoa mabao mengi ya wazi na kuwakatili Argentina walioongozwa na nyota wao, Lionel Messi.

Refa
Nicola Rizzoli wa Italia alikataa bao la Gonzalo Higuain dakika ya 32
akimalizia krosi ya Lavezzi, kwa kuwa mchezaji huyo aliotea, ingawa
tayari alikwishaanza kushangilia.
Kikosi cha Ujerumani kilikuwa; Neuer, Lahm, Boateng, Hummels, Howedes, Kramer/Schurrle dk32, Schweinsteiger, Muller, Kroos, Ozil, Klose/Gotze dk88.
Argentina: Romero, Zabaleta, Demichelis, Garay, Rojo, Biglia, Mascherano, Perez/Gago dk86, Higuain/Palacio dk78, Messi na Lavezzi/Aguero dk46.

0 comments:
Post a Comment