
Mashambulizi ya Israel katika eneo la Gaza
Israel imesema kuwa itaendeleza mashambulizi yake katika ukanda wa Gaza hadi pale kundi la wapiganaji wa Hamas litakapositisha kurusha makombora katika maeneo ya taifa hilo.
Zaidi ya watu 110 wengi wao wakiwa raia wa Palestina wameuawa kufuatia mashambulizi ya siku nne yanayotekelezwa na Israel katika eneo la Gaza.
Alipoulizwa iwapo Israel ilikuwa inajiandaa kutuma jeshi la ardhini nchini Palestina ,bwana Netanyahu alijibu kuwa Israel inajiandaa kwa lolote lile.












0 comments:
Post a Comment