Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salaam kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto) akisoma taarifa ya ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salaam kabla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pida kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa jengo hilo, Oktoba 20,2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika eneo la Victoria jijini Dar es salam Oktoba 20,2015. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu baada ya kuweka jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Victoria Place linalojengwa katika eneo la Victoria jijini Dar es slaam Oktoba 20, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment