Saturday, 17 October 2015

MJI WA TUNDUMA WASIMAMISHA BIASHARA ZAO KWA KUMPOKEA EDWARD LOWASA WATU NYOMI CHEKI HAPZA

Mji wa kibiashara wa Tunduma umejikuta ukisimamisha pilika pilika zake zote za kibiashara kupisha mkutano mkubwa na wa aina yake uliokuwa ukiongozwa na mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa aktiba ya wananchi UKAWA,Edward Lowassa



Related Posts:

0 comments: