Ni mechi za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ambapo leo October 17 2015 zilichezwa mechi sita kwenye viwanja tofauti huku Stand United ikiongoza kwa kuwa timu iliyoshinda goli nyingi kwenye mechi za leo.
#Livematch #FullTime Yanga 1 (Ngoma 45′) – 1 Azam FC (Tchetche 83)
#Livematch Full Time: Mbeya City 0 – 1 Simba. (Murshid 15′) — October 17, 2015
List ya timu zote kwenye picha pamoja na msimamo wa ligi ni kutoka tff.or.tz
0 comments:
Post a Comment