Sunday, 18 October 2015

MAMA SAMIA AITEKA MBOZI MKOANI MBEYA LEO NA MAGUFULI NAE AENDELEA KUZOA KURA ZA MWANZA LEO JIONI ANGALIA HAPA



Chopa aliyomo Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili kwenye Viwanja vya  Mulowo kuhutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Mbozi mkoani Mbeya, leo

























     MAGUFULI NAE AENDELEA KUZOA KURA ZA MWANZA LEO

 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mabatini jijini Mwanza ambapo aliwaambia kuwa atakapochaguliwa oktoba 25 atahakikisha anawatumikia Watanzania kwa nguvu zote na kuleta maendeleo.


 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Buzuruga jijini Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.
 Hii ndio furaha ya watu wa Mwanza hata wenye taulo walijitokeza.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kisesa wakati akiwa njiani kuelekea Magu.



 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.



 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.

 Wakazi wa Misungwi walivyofurika kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mgombea Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Misungwi mkoani Mwanza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanakanenge.








0 comments: