Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la Ukonga mapema leo mchana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bar, Dkt
Magufuli amemaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Kisarawe,Ukonga na
baadae anatarajia kuhutubia mkutano wa Kampeni Pemba na Unguja.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimwombea kura mgombea Ubunge
jimbo la Kisarawe Selemen Jaff mapema leo asubuhi kwenye mkutano wa kampeni
Wakazi wa Ukonga wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt John Pombe uliofanyika leo mchana kwenye uwanja wa mpira moshi bar.
Mgombea Urais wa CCM John Pombe Magufuli akionesha picha yake aliyokabidhiwa
kama zawadi na mkazi wa Kisarawe mapema leo asubuhi kwenye mkutano wa kampeni.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimpongeza mmoja wa wakazi wa Ukonga mara
baada kughani shairi lililokuwa likimsifia kuwa ana sifa zote za kuwa
Rais wa Tanzania,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mapema leo
asubuhi kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bar,Ukonga jijini Dar
Wakazi wa Ukonga wakishangilia kwenye mkutano huo wa kampeni.
Katika hali isiyo ya kawaida vijana walijitokeza kuanza kufuta barabara ya vumbi ili Mgombea Urais Dkt Mafuguli aweze kupita.
0 comments:
Post a Comment