DSC_0042
Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.
DSC_0035
Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja
DSC_0044
Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati.
DSC_0066
DSC_0066
Mkuu wa usalama wa chakula Bodi ya chakula, dawa na vipodozi Zanzibar Nadir Khatib Hassan akitoa ufafanuzi wa bidhaa hizo kwa wandishi wa habari huko Kibele zilipo angamizwa. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.