LOUIS van Gaal anatarajia
kumteua mshambuliaji wake hatari Robin van Persie kuwa nahodha wa kikosi
chake mara atakapojiunga na Manchester United baada ya kumalizika kwa
kombe la dunia majira ya kiangazi nchini Brazil.
Jumamosi iliyopita Van Persia
aliifungia bao muhimu timu ya taifa ya Uholanzi katika mechi ya kirafiki
dhidi ya Ecuador na kulazmisha sare ya 1-1.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment