Timu ya Tanzania taifa stars ilikuwa ikicheza leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar
es salaam jioni ya leo matokeo ni Taifa Stars imeibuka na ushindi wa goli moja kwa bila goli lililo patikana kupitia john bocco adebayo katika dakika ya 30 kipindi cha kwanza
kwa matokeo haya inawafanya taifa stars kuhitaji sare ya aina yeyote katika mechi yao ya marudiano itakayo fanyika baada ya wiki moja nchini zimbabwe
0 comments:
Post a Comment