Sunday, 18 May 2014

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MTAA WA SINDE B MKOANI MBEYA


Wananchi wakielekea eneo la tukio kwa ajili ya kuuzima moto huo kabla kikosi cha zimamoto kufika



Changamoto kwa kikosi cha zimamoto mbeya mbali ya kuwahi eneo la tukio lakini mipira ya maji ni mibovu mipira hiyo ina matundu kibao




Moja ya gari lililookolwea na wananchi

Kikosi cha zimamoto kazini

Samani mbalimbali zimeteketea kwa moto




Madiwani wa kata ya manga kushoto Diwani viti maalumu Mary Malema na Daniel Mwakisyala wakiwa eneo la tukio


Faraja Damasi akipatiwa matibabu katika kituo cha afya Mwanjelwa baada ya kupata mstuko na kuzirai

Picha na Ezekiel Kamanga
Mbeya yetu


0 comments: