KUNDI la walemavu, wajasiriamali na
wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya
barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa saa tatu wakishinikiza
Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika
eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.
CHINI FUATILIA PICHA ZA TUKIO HILO.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA
0 comments:
Post a Comment