Monday 26 October 2015

WASHINDI WA UBUNGE, LINDI MJINI, NA TANDAIMBA.. INGIA HAPA..


Jimbo la Tarime Mjini
Ubunge: Ester Matiko(Chadema) 20,017, Michael Kembaki(CCM), 14, 025, Deogratias Meck(ACT-Wazalendo) 356.
 
Msimamizi mkuu wa Uchaguzi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Juma Mwajombe amemtangaza Matiko kuwa mshindi katika Jimbo hilo

Jimbo la Lindi Mjini 
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Lindi Mjini, Ndugu Hassan Suleiman Kaunje ametangazwa rasmi kuwa mbunge wa jimbo hilo  

Jimbo la Tandaimba 
Mgombea wa CUF/UKAWA Jimbo la Tandaimba Mtwara Ahmed Katani Katani ameibuka mshindi na kutangazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hi

0 comments: