Tuesday 27 October 2015

Update.....Orodha ya Majimbo 27 ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

 

1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM
7.Jimbo la Christopher Chiza(huko mkoa wa Kigoma)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini(confirmed)
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(sina uhakika sana).
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
25.Kigoma mjini
26.Rorya(sina uhakika)
27.Ukonga

0 comments: