Saturday 24 October 2015

Hii ndyo taarifa ya Gari la Serikali Lililo kamatwa Njombe Likiwa na Maboksi ya Kura FEKI zilizopigwa Kumchagua Magufuli

Gari la Serikali limekamatwa mkoani Njombe likidaiwa kuwa na kura FEKI Zilizizopigwa kwa ajili ya mgombea urais wa CCM

Gari lililokamatwa ni la Tanroads, na limekamatwa leo asubuhi.Walipokamatwa walijitetea kuwa walikuwa wamebeba t shirt za Magufuli.

Baada ya Upekuzi kufanyika, chini ya shinikizo la wananchi, gari hilo lilikutwa na kura ambazo tayari zimepigwa kumchagua Magufuli.

Taarifa hii Imethibitishwa na James Mbataia, Mwenyekiti mwenza wa Ukawa. .
Tazama Video

0 comments: