Sunday 25 October 2015

HUKU VIJIJINI NILIKO KURA ZINAPIGWA KWA AMANI..

..Mwenyekiti wenu nikishapiga kura kijijini, mita mia mbili nimeshafika kwenye msonge wa ndugu wa ukoo wa Mjengwa. Hapo kuna kuku atakayechinjwa kwa kitoweo cha mgeni..!
Maggid

0 comments: