Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila
kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.(PICHA NA
IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Bi. Jacqueline M.
Maleko ateuliuwa kuwa mkurugenzi mkuu wa TANTRADE alipomaliza kutembelea
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwanzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipozi katika picha ya pamoja na viongozi na
wafanyakazi katika banda la JWTZ alipomaliza kutembelea maonesho ya
kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai
6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na vija na wa skauti alipomaliza
kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba
alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana
kutokamilika kutokana na muda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la PPF kwenye maonesho ya
kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai
6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la PPF kwenye maonesho ya
kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai
6, 2014 baada ya ziara yake ya janakutokamilika kutokana na muda.
Rais
Jakaya Kikwete akiangalia samani kwenye banda la JKT kwenye maonesho ya
kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena leo Juai
6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya

Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TRA kwenye maonesho ya

6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda hapa
akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Rashed Bade.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda. Ardhi university ndio washindi wa jumla wa mwaka huu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea banda la Fursa sawa kwa Wote
inayoongozwa na mke wa Rais wa Awamu ya Pili, Mama Anna Mkapa, kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto alipotembelea maonesho ya
kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba kwa mara ya pili leo Juai 6,
2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na muda.

Maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.

0 comments:
Post a Comment