YAKIWA NI MAANDALIZI YA MKUTANO WA 45 WA CPA
Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kushoto)akisalimiana na Meneja wa Fedha wa Hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa Mameneja wa Hoteli za kitalii ikiwa maandalizi ya mkutano mkubwa wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA)utakaofanyika jijini Arusha mwezi huu.
Mkuu
wa Wilaya ya Arusha,John Mongela(kulia)akimsikiliza Mkuu wa Idara ya
Mawasiliano,Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa wa Bunge,Jossey
Makasyuka wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mussa
Zungu akizungumza katika hafla ya chakula jioni,wengine kutoka kushoto
ni Wabunge wa Vita Maalumu,Mhonga Ruhwanya,Lucy Owenya,Meneja Uhusiano
wa Tanapa,Pascal Shelutete na Mbunge wa Kilindi,Beatrice Shelukindo.
Wakifuaatilia
kwa makini hafla hiyo,kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha
Mikutano cha AICC,Paul Ndosa,Wabunge wa Viti Maalum,Mhonga Ruhwanya na
Lucy Owenya.
Mameneja mbalimbali wakifuatilia kwa makini tukio hilo ambalo litawawezesha kupokea wageni wengi kwenye hoteli zao.












0 comments:
Post a Comment