| Mbunge mery mwanjelwa alipo wasili katika ukumbi wa ott |
| Baadhi ya viongozi wasemina wakiandaaa risala kwa mgeni rasami |
| mbunge wa songwe philipo mlugoalipo wasili katika ukumbi wa ott |
| Mkufunzi kutoka shirika la YES Mh ISRAEL ILUNDE kitoa semina wanawake wa mkoa wa mbeya |
| Mbunge mery mwanjelwa na mbunge wa songwe philipo mlugo akijadili jambo na mwandishi wa habari wa mbeya highland mh maiko ngalya |
| mbunge mery mwanjelwa akisoma gazeti la mwananchi muda mfupi baaada ya kuwasili katika ukumbi wa ottu mbeya |
| Mbunge mery mwanjelwa na mbunge wa songwe philipo mlugo wakijadili jambo na mbele ni mwandishi wa habari wa wa blog ya mbeya greennes na mbeya highland fm Abdul marwa abdallah |
| mbunge wa songwe philipo mlugo akiongea na wanasemina |
| wanasemina wakimsikiza mgeni rasmi |
| Mbunge mery mwanjelwa na mbunge wa songwe philipo mlugo wakiwa katika meza kuu |
| Mbunge mery mwanjelwa akipata chakula baada ya kufunga semina |
| Mbunge mery mwanjelwa na mbunge wa songwe philipo mlugo wakienda kupata chakula |
| mmoj wa wanasemina akitoa shkru kwa mgeni rasm mh philpo mlugo |
| Diwa viti maalu merry malama akimkabidhi mgeni rasim risala |
| Mbunge Dk mery mwanjelwa akichukuwa zawadi ya kitenge kutoka kwa wanasemina |
| mbunge wa songwe philipo mlugo akiongea na wanasemina |
Kwa upande wake Mh Mbunge Dk Mery Mwanjelwa amesema kuwa
ameamua kuandaa semina hiyo kwa kuleta madiliko kwa wanawake kwa kupata elimu ya siasa na Uongozi kwa kuwa itawanufaisha kwa kuwajengea Ubunifu,Ujasili ,Kujiamini na
kufahamu mbinu za kupambana na wapinzani
wa vyama vingine vya siasa ndani ya jiji la Mbeya na Tanzania kwa ujumla ,mabali
na hayo Mh: Dk merry asema kuwa lengo
lake kubwa nikuleta mabadiko ya maendeleo kwa vijna na wanawake
wa mkoa mbeya anamini kuwa semina hii italeta
chachu ya mabadiliko katika siasa.
Nao wanawake waliohudhuria semina hiyo wameshukuru kwa
kupewa nafasi kupata Elimu Uongozi na
Uwajibikaji Mbinu na Mikakati ya
kisiasa ambayo imewapa mwanga ya
kujitambua, kupambana na maadui katika siasa ya Tanzania, pia wame muomba Mbunge huyo kuwapa semina za mara
kwa mara ili waweze kukumbushana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali ya maendeleo.
Habari Na:
Abdul Marwa Abdallah
0753320780












0 comments:
Post a Comment