MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Monday, 29 December 2014

Timu ya taifa ya Tanzania yaanza kambi leo Dar es Salaam

Timu ya taifa ya Tanzania inaanza kambi leo Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya kriketi ya Afrika chini ya miaka 19 daraja la 1 itakayofanyika nchini Namibia mapema mwakani. Kambi hiyo chini ya kocha mchezaji Hamis Abdallah inakuja baada ya majuma mawili ya michuano...

Mashindano ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake kuzinduliwa Januari Mosi

Mashindano ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake (Taifa Cup Wanawake) yanazinduliwa rasmi Januari Mosi mwakani kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa mechi kati ya wenyeji Mwanza na Mara. Mechi hiyo itakayoonyeshwa moja kwa moja na televisheni ya Azam itachezwa...

ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya kusitishwa kwa muda.

Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya kusitishwa kwa muda. Watu 162 walikuwa kwenye ndege hiyo wakati ikipoteza mawasiliano na kituo cha kuelekeza safari za ndege. Ndege hiyo ilikuwa safarini kwenda nchini Singapore...

Abiria miamoja wakwama:ATC

      Shirika la ndege Tanzania ATC Zaidi ya abiria mia moja wa ndege ya ATC wamekwama nchini Tanzania, baada ya safari zao kuarishwa. Wengi wao wakielekea nchini Comoros na wengine wakiwa katika safari za ndani, kuelekea Mtwara na Kigoma wamekwama kwa...

Wednesday, 24 December 2014

Bolton yamsajili mgongwe E mile heskey kwa mkataba wa muda mfupi

  Klabu ya Bolton Wanderers imetangaza kumsajili mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Uingereza Emile Heskey kwa mkataba wa muda mfupi. Heskey mwenye umri wa miaka 36 amekuwa akifanya mazoezi na klabu hiyo huku akikitumikia kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 21 katika mchezo dhidi ya Reading Jumatatu iliyopita. Mkongwe huyo ambaye...

Huyu ndiyo ww jamaa aliye kula tumbo mayai 150 na mayai ya kuku 10 kwa dakika 37

A man challenged himself to eat 150 quail eggs and 10 chicken eggs in 37 minutes at a restaurant in Changsha, central China's Hunan province, December 23. ,   y...

Amwacha mumewe na dadake uchi baada ya wakifanya mapenzi

    Wawachwa uchi Mwanamke kwa jina Ting Su nchini Uchina alimwacha mumewe na dadake bila nguo barabarani baada ya kuwapata wakifanya mapenzi Ting Ting Su aligundua kwamba mumewe alikuwa akimdanganya na dadaake na kuwafuata hadi katika kituo kimocha cha maduka...

APORWA NA KUJERUHIWA KWA RISASI

Mpita njia ajeruhiwa kwa Risasi na Majambazi waliovamia na kupora ktk duka la Pesa Morocco Kinondoni Less than one hour ago here at Morocco nyuma ya Airtel Building a lady was shot to dead!!Bodaboda walivamia kiduka cha M-PESA, tiGO PESA na Airtel Money; wakati wanaondoka...

Wednesday, 17 December 2014

MUNGU WANGU MSAIDIZI WA MAXIMO NAYE ASEPA KWENDA KWAO BRAZIL

NEIVA... Kocha Msaidizi wa Yanga, Leonardo Neiva naye yuko njia moja kurejea kwao. Taarifa za uhakika zinaeleza, Neiva anaondoka na nafasi yake itachukuliwa na Boniface Mkwasa. Usiku wa kuamkia jana kumekuwa na kikao kizito cha viongozi wa Yanga kujadili...

Tuesday, 16 December 2014

VAN GAAL KOCHA BORA WA MWAKA, VAN PERSIE ABEBA TUZO, ROBBEN MWANA MICHEZO BORA

kocha louis van gaal ameibuka na kupewa tuzo ya kocha bora wa mwaka wa uholanzi baada ya kuifikisha nchi hiyo kwenye nusu fainali ya kombe la dunia 2014. mshambuliaji wake, robben van persie amepewa tuzo ya bao bora, lile alilofunga kwenye kombe la dunia akipaa kama...

Amissi Tambwe kutua Yanga asema Ndipo alipo pataka ili awaanyeshe makali walio muacha

    HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa dakika chache zilizopita ni kwamba klabu ya Yanga imemsajili mshambuliaji wa Simba aliyeachwa Amisi Tambwe . Yanga imemsajili Tambwe dakika chache zilizopita ambapo anakuja kujaza nafasi iliyoachwa wazi...

Sakata la Escrow lafanya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Werema kuaachia ngazi

jaji Werema aliyetangaza kuachia ngazi mwenyewe HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema ametangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo.Habari hizo zinasema Jaji Werema mmoja wa vigogo wanaotuhumiwa kuhusika...

Monday, 15 December 2014

Breaking news ya kocha Marcio Maximo kuondoka Yanga.

 o Habari rasmi toka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa kocha Mbrazil Marcio Maximo ameondoka ndani ya klabu hiyo ambapo habari hizi zinakuja dakika chache baada ya vyombo vya habari kuripoti tetesi zinazohusu mustakabali wa kocha huyo Mbrazil. Maximo...

Simba kusajili beki, kutoka mtibwa sukari usiku wa leo kabla ya kufungwa kwa usajili

Katika usiku ambao umekuwa na movement nyingi za wachezaji na makocha , klabu ya Simba imekamilisha usajili wa beki wa pembeni toka timu ya Mtibwa Sugar, Hassan Kessy. Beki huyo ambaye ametokea kuwa mmoja kati ya wachezaji wa kutumainiwa kwenye klabu hiyo ya wakata...

ENRIQUE ASISITIZA LICHA YA SARE, BARCELONA BADO NI BORA

Kocha Luis Enrique amesema hajakatishwa tamaa na uchezaji wa kikosi chake cha Barcelona. Barcelona ilibanwa na kutoka sare na Getafe katika mchezo ulioonyesha kuwaudhi mashabiki wa Barcelona. “Unajua inavyokuwa ngumu kama umeingia na sasa ndiyo tuko kwenye mabadiliko. “Lakini...

LIVE: UPANGAJI MAKUNDI UEFA CHAMPIONS LEAGUE 16 BORA

Upangaji wa makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 Bora unaendelea sasa:Chelse Vs PSG Man City Vs Barcelona Bayer Leverkusen Vs Atletico Madrid Juventus Vs Borrusia Dortmund FC Schalke Vs Real Madrid   FC Shaktar Vs Bayern Munich Arsenal Vs AS Monaco Basel...

Aliye mchapa mtoto wa mwajiri wakeafungwa jela miaka ...........

Jolly Tumuhirwe apatikana na hatia ya kumtesa mtoto mdogo na kufungwa jela miaka 4 Yaya wa Uganda aliyejipata pabaya kwa kumchapa mtoto wa mwajiri wake, amehukumiwa jela miaka minne kwa kosa la kumtesa mtoto. Kisa cha yaya huyu kilizua hasira miongoni mwa watu wengi katika...

Wachezaji wa ti mu ya Zambia wapata ajali mbaya

  Mshirikishe mwenzako Maafisa wakuu wa klabu hio wanasema hali ya wachezaji waliojeruhiwa imeweza kuimarika Wachezaji wa timu ya taifa ya Zambia waliohusika katika ajali ya barabarani Jumapili, wanasemekana kuwa katika hali nzuri. Wachezaji hao Nyambe Mulenga,...

Manchester United wanataka kumsajili winga Gareth Bale toka klabu ya Real Madrid

Gareth Bale akiwa dimbani Manchester United wanataka kuendelea kuimarisha kikosi chao kwa kumsajili winga Gareth Bale, mwenye miaka 25, toka klabu ya Real Madrid kwa dau la £90milion, pesa za mauzo ya Bale zitatumika kuwasajili nyota Eden Hazard wa Chelsea na kinda wa Liverpool...

Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.

  Cristiano Ronaldo na kidole cha ushindi Mshambuliaji Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo nyingine baada ya kutangazwa kuwa mwanamichezo bora wa mwaka na shirika la utangazaji la BBC. Ronaldo alishindwa kuhudhuria sherehe za utoaji tuzo hizo zilizofanyika Glasgow Scotland.kwasababu...

Watu kadhaa wanashikiliwa mateka Sydney

    Baadhi ya waliookolewa kutoka ndani ya mgahawa wa Lindt Watu kadhaa wanashikiliwa mateka na mtu mmoja au zaidi wenye silaha katika mgahawa wa Lindt mjini Sydney, Australia. Mamia ya Polisi waliojihami kwa silaha wamezingira eneo lilipotokea tukio hilo. Takriban...

Zaidi ya watu 129 wazama Ziwa Tanganyika DR Congo

 ako Maboti katika eneo hilo mara nyingi hujazaa abiria na mizigo kupita kiasi na ajali kutokea ni jambo la kawaida Miili ya watu 129 imepatikana katika Ziwa Tanganyika baada ya boti kuzama Ijumaa Miili ya watu wapatao 129 imepatikana kutoka Ziwa Tanganyika nchini...