Thursday, 15 October 2015

KOCHA WA ZAMANI WA YANGA ATIMULIWA KAZINI NCHINI AFRIKA KUSINI


Kocha wa zamani wa Yanga, Kostadin Papic ametimuliwa katika klabu yake aliyokuwa akiifundisha Afrika Kusini.


Polokwane City imemtupia virago Papic baada ya kuanza msimu huu kwa kusuasua.

Kocha huyo kutoka Serbia, amewahi kuinoa Yanga ambayo ilimtoa mara moja, baadaye akarejea kabla ya kumtupia virago tena.



Related Posts:

0 comments: