HOME »
» BREAKING NEWS : MWILI WA KIJANA ALIYEZAMA MAJINI KATIKA KIVUKA CHA KIGAMBONI
Mwili wa kijana Odva Makenge aliyezama maji baada ya gari walilokuwa wamepanda ndani ya kivuko cha kigamboni kutumbukia baharini umeonekana kando ya bahari ya Hindi eneo la Ocean Road huku famili ya marehemu ikilalamikia polisi kikosi cha wanamaji kwa kushindwa kuchukuwa hatua haraka.
0 comments:
Post a Comment