Kiungo nyota wa Simba, Haruna Moshi Boban amejiunga na Mbeya City.
Leo Boban amefanya mazoezi siku ya pili mfululizo kwa ajili ya mechi hiyo.
Taarifa za uhakika zimeeleza Boban alikuwa amejiunga na Mbeya City mwanzoni mwa msimu huu.
Lakini kulikuwa na mambo kadhaa aliyotakiwa kumalizana na uongozi wa timu kabla ya kujiunga nayo.
Taarifa nyingine zimeeleza Boban alisafiri kwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
0 comments:
Post a Comment