Mkuu wa mkoa wa Mwanza aagiza kufukuzwa kazi kwa mganga mkuu wa wilaya ya Magu kwa kosa la utoro uliokithiri bila ya taarifa.