Thursday 14 April 2016

Huyu ndiyo mtenaji wa seriakali ambaye Rais Magufuli ametengua uteuzi wake leo

April 14 2016 imetolewa taarifa kutoka Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi MhandisiJohn Kijazi ikieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri mtendaji  wa magazeti ya serikali ‘TSN’, Gabriel Nderumaki.
Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia March 18 2016, kufuatia kutenguliwa kwa uteuzi huo, Rais Magufuli amemteua Tuma Abdallah kukaimu nafasi hiyo ambapo Tuma Abdallah ni Mhariri Mtendaji Msaidizi wa Magazeti ya Serikali ‘TSN’.
ikulu

0 comments: