Saturday 23 April 2016

Wayne Rooney Aongoza kuwa mwanamichezo wa kwanza tajiri katika wanamichezop wote nchini Uingereza

April 23 2016 gazeti la Rich Times imetoa majina ya wanamichezo 10 wenye mkwanja mrefu kwa mwaka 2016 ndani ya Uingereza pekee, katika list hii majina mengi yaliotawala ni wanasoka kasoro namba 2, 3 na 10 ndio sio wanasoka, namba 2 wapo wachezaji tennis Andy na Jamie Murray, namba tatu yupo mchezaji golf Rory McIlroy huku namba 10 yupo bondia pekee Amir Khan.
Mwanamichezo tajiri kwa mwaka 2016 ni nahodha wa Man United Wayne Rooneyambaye ana utajiri wa pound milioni 82 ambazo ni zaidi ya bilioni 250, utajiri wa Rooneyunatajwa kuongezeka kwa kiasi cha pound milioni 10 wakati bondia Amir Khan kiwango chake hakijaongezeka wala kupungua.
tajiri

0 comments: