Historia ya siasa Tanzania kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 ilikuwa ni lazima ikamilishwe kwa matukio kadhaa, kati ya hayo liko tukio la kupatikana Wagombea viti vya Udiwani, Ubunge na pia kupatikana kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
November 05 2015 itakuwa siku nyingine kubwa, anaapishwa Rais wa Tanzania ambaye ataingia kushika nafasi ya Rais Jakaya Kikwete.
Shughuli yote itakuwa Live Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, maandalizi ya shughuli yenyewe je?
Ripota ndani ya Uwanja wa Uhuru, Temeke Dar es Salaam na yuko tayari kukusogezea kinachoonekana nje mpaka ndani, kona mpaka kona ya Uwanja huo inavyoonekana saa chache kabla ya kushuhudia tukio lenyewe.
0 comments:
Post a Comment