Wednesday, 4 November 2015

TASWIRA YA RAIS JAKAYA KIKWETE SIKU YAKE YA MWISHO YA URAISI IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya kazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam kwa mmara ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful. Rais Kikwete aliingia rasmi madarakani katika ofisi hiyo Desemba 21, 2005 baada ya kupokea kijiti kwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

0 comments: