Ajali Maeneo ya Mtono Lakini Salama kwa Abiria wa Gari Hizo.
Wananchi wa eneo la mtoni barabara ya bububu wakiangalia gari yenye namba za usaji Z 284 BD ,iliokuwa ikitokea mjini kuelekea bububu kupata ajali wakati ikijaribu kuzipita gari wakati ikiwa katika mwendo na kusababisha ajali ya kuigonga gari yenye namba za Usajili Z 626BV, ikitokea bububu kuelekea mjini, katika ajali hiyo hakuna mtu aleyejeruhiwa
0 comments:
Post a Comment