Monday, 19 October 2015

Lowassa: Nimejiandaa kuwaongoza Watanzania kama mjitokeza hivi naamini kula nazo zitakuwa nyingi zaidi



Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwandanzovwe, Nzovwe mjini Mbeya jana. 
Picha na Emmanuel Herman 

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa amesema amejiandaa na yupo tayari kuwaongoza Watanzania akiwa rais wa awamu ya tano.kwa kuwa watu wa mbeya wamejitokeza kwa wingi na wamehamasika kwa kutaka mabadiliko ya kweli kutoka nje ya ccm pia ameongeza kuwa akiwa raisi atatoa elimu bure kutoka shule za msingi mpaka chuo kikuu,nakuengenez serekari rafiki ya wananchi /wafanyabiashara ikiwemo wamachinga

0 comments: