MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Tuesday, 27 October 2015

Matokeo Ya Urais: Dk Magufuli anaongoza Majimbo 17, Lowassa 10......Updates Zote Za Matokeo Ya Urais Zitakuwa Hapa

Oktoba 26, 2015 - Saa 4 asubuhi: Jimbo la Makunduchi:Magufuli (CCM): 8,406Lowassa (CHADEMA): 1,769Jimbo la Paje:Magufuli (CCM): 6,035Lowassa (CHADEMA): 1,899Jimbo la Lulindi:Magufuli (CCM): 31,603Lowassa (CHADEMA): 11,543October 26, 2015 - Saa 11 JioniJimbo la Mkoani:Magufuli...

Haya Ndio Majimbo 29 Ambayo UKAWA Imeshinda kwa Kishindo

  1.Tarime-Ester Matiko2.Buyungu-Bilago Samson3.Tunduma-Mwakajoka Samson4.Siha-Godwin Mollel5.Monduli-Julius Kalanga Laizer6.Tandahimba-Katani Ahmed(CUF)7.Arumeru Mashariki-Joshua Nassari8.Bunda-Ester Bulaya9.Serengeti-Marwa Ryoba10.Mbeya Mjini-Joseph Mbilinyi11.Hai-Freema...

Update.....Orodha ya Majimbo 27 ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

  1.Monduli2.Simanjiro3.Same Mashariki(Mama Kilango)4.Siha5.Bunda Mjini(kwa Wasira)6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM7.Jimbo la Christopher Chiza(huko mkoa wa Kigoma)8.Tanga Mjini9.Babati Mjini10.Babati vijijini11.Tandahimba12.Muleba kusini(sina uhakika sana)13.Moshi...

Matokeo Rasmi ya Urais yaliotolewa leo mchana kwa Mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.Tembelea  ukurasa huu mara kwa mara  kwa updates zaidi   ================================== October 27, 2015 - Saa 8.40...

Update...Haya Ndio Majimbo 76 Ambayo CCM imeshinda Kwa Kishindo

  1. Chalinze- Ridhiwani J. Kikwete2. Kibaha Mjini- Sylvester Francis Koka3. Gairo-Ahmed Shabiby4. Mvomero-Suleiman Ahmed Saddiq5. Chemba- Juma Selemani Nkamia6. Bahi-Omar Ahmed Badwel7. Kibakwe-George Boniface Simbachawene8. Mpwapwa-George Malima Lubeleje9. Mtera-...

Silaha za Kijadi Zakamatwa Shinyanga..Inasemekana ziliandaliwa Kwa Ajili ya Kufanya Vurugu Wakati wa Uchaguzi

Vipande vya nondo na mapanga yanayodaiwa kuwa ni ya mgombea ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Jeremia Mshandete wa Chadema, ni miongoni mwa silaha za jadi zilizokatwa ambazo zinadaiwa kuwa ziliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu...

HAYA HAPA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA SOLWA SHINYANGA, CCM WAKOMBA KATA ZOTE 25

  Mshindi wa ubunge jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Ahmed Salum Ally akishangilia baada ya kutangazwa kuwa ni mshindi nafasi ya ubunge jimbo la Solwa mchana huu-Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Shinyanga Kiomoni Kibamba akitangaza matokeo ya ubunge jimbo la Solwa ambapo...

SHINYANGA MJINI,UPINZANI WAPINGA,WANANCHI WAPIGWA MABOMU,YA RAIS MPAKA KESHO

Mheshimiwa Stephen Masele akiwashukuru wakazi wa Shinyanga kwa kumchagua kuwa mbunge katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25,2015-Picha na Kadama    Uchaguzi mkuu katika jimbo la Shinyanga mjini umeingia dosari baada ya wagombea wa ubunge wa upinzani Chadema...

LIVE: Matokeo Rasmi ya Urais kwa Mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.Tembelea  ukurasa huu mara kwa mara  kwa updates zaidiJimbo  la  Fuoni-Mjini MagharibiMagufuli (CCM): 956Lowassa (CHADEMA):420Jimbo  la...