MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Saturday, 21 November 2015

Kauli ya Zitto Kabwe Kuhusu Wabunge wa UKAWA Kuitwa "Watoto" Bungeni

  WAKATI Rais Magufuli akimpa heko Mbunge wa Kigoma Mjini Kupitia chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe kwa kitendo chake cha kutoungana na wabunge wanaowakilisha umoja wa katiba ya wananchi Ukawa kupiga kelele na kutolewa nnje ya Bunge na Spika Job Ndugai,Zitto...

Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo

  WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Geita, Alfonce Mawazo.      Fedha,...

Baada ya agizo la rais magufuli hospital ya muhimbili yapokea vitanda 300 ,shuka 600 na baisikeli za wagonjwa

Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya Wabunge wapya zipelekwe katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda...

Full Time Man City Ya fungwa goli 4-1 na Liverpool leo November 21

 Licha ya kuwa headlines za soka duniani kote ilikuwa ni mchezo wa El Clasico kati yaReal Madrid dhidi ya FC Barcelona katika uwanja wa Santiago Bernabeu, nchiniUingereza kulikuwa na mchezo mmoja uliyokuwa unavuta hisia za watu wapenzi...

Full Time Real Madrid yabigwa 4-0 na FC Barcelona leo november 21 Aangalia hapa

 Ligi Kuu Hispania imeendelea tena leo November 21 kwa kuzikutanisha timu kadhaa kucheza mechi zao za muendelezo wa Ligi Kuu Hispania, miongoni mwa mechi zilizochezwa November 21 ni mchezo wa watani wa jadi kati ya Real Madrid dhidi ya mahasimu...

Matukio ya ukatili yaongezeka kanda ya Kaskazini.

Matukio ya ukatili wa kijinsia katika mikoa ya kanda ya Kaskazini yamezidi kuongezeka ambapo katika kipindi cha kuanzia mwenzi january mwaka huu jumla ya matukio 670 ya ubakaji yameripotiwa katika vyombo vya kisheria. Hayo yamebainishwa na mratibu wa maandalizi...

Umoja wa Wake za Mabalozi kukusanya Milioni 80 wakati wa gulio la mwaka huu jijini Dar es Salaam

. Umoja wa Wake za Mabalozi  wa nchi za nje hapa nchini unatarajia kukusanya zaidi ya shilingi milioni 80 wakati wa gulio la mwaka huu lililofanyika katika Shule ya Kimataifa Tanganyika jijini Dar es salaam. Wake wa Mabalozi wa nchi za mbalimbali waliopo...

ujangili waanza kupungua katika mbuga za wanyama za Tanzania

hali ya ujangili wa kutisha ambao ulitikisa nchi katika kipindi cha miaka miwili iliyopita katika hifadhi za wanyamapori hapa nchini umeanza kupungua kwa kasi baada ya serikali kufanikiwa kudhibiti mianya iliyokuwa inatumiwa na majangili kuingia katika hifadhi za taifa . ...

Wanachama 115 wa CHADEMA na CUF Wahamia CCM Wilayani Handeni Mkoani Tanga

  Wanachama 115 wa Chadema na CUF wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, wamejiunga na CCM kwa madai kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa kuelewana hadi kipindi cha Uchaguzi Mkuu. Wakirudisha kadi na bendera juzi mbele ya Katibu Mwenezi wa CCM...

UKAWA waweka hadharani Kilichowafanya Walete Vurugu bungeni

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesema mipango yao ya kutomruhusu Rais Dk. John Magufuli kulihutubia Bunge akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, imefanikiwa. Mwenyekiti wa Umoja huo, Freeman Mbowe, alisema  jana kuwa walimua kuzuia Rais Magufuli...

WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KUSAFIRISHA MATENGA YA DAWA ZA KULEVYA MOROGORO

  Watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kusafirisha matenga nane ya Dawa za kulevya yenye uzito wa kilogramu 120 yaliyokuwa yakisafirishwa kutoka mkoani Singida kwenda jijini Dar es Salamu kwa ajili ya kusambazwa kwa Mawakala.Kamanda...

MATOKEO YA LIGI KUU YA ENGLAND LICHA YA KUSHINDA MORINHO ASEMA ANAUHITAJI WA KUSAJIRI

   Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho amesemakuwa hana haki ya kuishinikza Chelsea kununuawachezaji wapya wakati wa dirisha la uhamishomnamo mwezi Januari.Mabingwa hao wa ligi ya Uingereza wamepotezamechi 12 kufikia sasa na wako katika nafasi ya16...

Matokeo ya Burundi Vs Zanzibar Heroes CECAFA Challenge 2015 …

Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na kati maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup yameanza leo November 21 mjini Addis Ababa Ethiopia, ikiwa ni michezo miwili ilikuwa inatarajia kuchezwa leo November 21, timu ya Zanzibar Heroes dhidi ya timu ya taifa...

Maguri Auzwa TP Mazembe Kwa Sh Mil 100

Na Sweetbert Lukonge STAND United imekubali kumuuza straika wake Elias Maguri kwa TP Mazembe ya DR Congo kwa dau la dola 50,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 100. Timu hiyo imetoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa taarifa mbalimbali zinazomhusisha Maguri kujiunga...

Friday, 20 November 2015

Hamad Ndikumana atemwa Rasimi na stend united ya shinyanga

Mwanasoka wa zamani wa timu ya taifa ya Rwanda na klabu ya Rayon Sports yaRwanda Hamad Ndikumana amerudi tena katika headlines za soka November 20,Ndikumana ambaye ni mume wa muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya ametemwa...