Mbali ya hukumu hiyo, pia Mahakama hiyo imemtaka mshtakiwa huyo kulipa faini ya Sh2 milioni kwa mtoto huyo.
Akitoa hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Ilala, Said Mkasiwa alisema PC Daniel atatumikia kifungo cha maisha jela baada ya mahakama kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na mashahidi wanne wa upande wa mashtaka
0 comments:
Post a Comment