Tuesday, 29 December 2015

WAHITIMU ITA KUZIBA PENGO TRA LA WATUMISHI 36 WALIO FUKUZWA NA DK MAGUFULI


 Kati ya wahitimu 146 wa kozi za kodi za forodha na za ndani kutoka Chuo cha Usimamizi wa Kodi nchini (ITA), wataziba nafasi ya watumishi 36 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) waliosimamishwa kazi na Rais John Magufuli.
  Hata hivyo, mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa kodi wa TRA, Richard Kayombo alisema uamuzi wa kuziba nafasi hizo hautazuia uchunguzi unaoendelea dhidi ya watumishi hao 36.
 Novemba 27, Rais Magufuli kwa kushirikiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walimsimamisha kazi kamishna wa mamlaka hiyo, Rashed Bade na maofisa watano ambao ni Habibu Mponenzya wa Kitengo cha Huduma kwa wateja, Hamis Ali Omari wa kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Haruni Mpande
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Huduma kwa Walipa kodi wa TRA, Richard Kayombo  

0 comments: