Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu.
nikwamba waziri Nape amesama taarifa zilizo enea sio sahihi ni watu labda wana taka kuiharibu wizara nawala hawana mpango huo
0 comments:
Post a Comment