Tunapoelekea kumaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2016, wananchi hutumia muda huo kwenda katika nyumba za ibada ama kusherekea katika maeneo mbalimbali ya starehe, ambapo uzoefu unaonyesha kuwa baadhi ya watu hupenda kutumia fursa...
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu
MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE
Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu
Thursday, 31 December 2015
Zaidi ya milioni 389 za miradi ya wananchi wilayani Mvomero zimetumika bila mpangilio.
Kiasi cha shilingi zaidi ya milioni 389 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya miradi ya maendeleo katika kijiji cha Bunduki tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro zimepotea bila kufanya kazi zilizokusudiwa zikiwemo fedha za mradi mkubwa wa maji safi,mradi...
Shirika la umeme nchini Tanesco limefanikiwa kuwanasa watu wanaoiba umeme Rukwa
Shirika la ugavi wa umeme Tanesco mkoani Rukwa,limefanikiwa kuwabaini zaidi ya wateja kumi na mbili wa shirika hilo wasiokuwa waaminifu, kufuatia msako mkali unaoendelea hivi sasa,wanaotumia umeme bila ya kuulipia kama inavyompasa kila mteja,kwa kujiunganishia...
Kundi la Saiga lalamikiwa kwa kubomoa nyumba za wananchi Nyamongo.
Baadhi ya wakazi wa mji mdogo wa Nyamongo wilaya ya Tarime mkoani Mara wameanza kuyakimbia makazi yao na wengine kulazimika kulala nje na familia zao nyakati za usiku, baada ya nyumba zao kadhaa kubomolewa na kundi la vijana wa Kikurya maarufu kama Saiga linalodaiwa...
Hicho ndiyo kilicho ikuta ndege ya AIR INDIA ikiwa na Abiria 171
Matukio yameendelea kuchukua headlines India.. ukiachia lile tukio la joto kali lililofanya watu kushindwa kuvumilia na kukaa ndani ya maji wakihofia maisha yao huku wengine wakipoteza maisha kutokana na joto kali kuna hii nyingine imetokea huko.
Ndege ya Air...
MAZITO YAFICHUKA ,MBUNGE ALIZWA MAMILIONI KWA KUTAKA UWAZIRI HALAFU AKAUKOSA

WAZIRI na Naibu Waziri wake katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameshindwa kufanikiwa kwenye juhudi zao za kushawishi wapate uwaziri katika Serikali ya Rais, Dk. John Magufuli, huku mmoja kati yao akitapeliwa shilingi milioni 40.
Viongozi hao wote walikuwamo katika...
Angali Baby Madaha...Alivyo anguka Chooni na Kuvunjika Mguu.... ona hapaaaaaa'''''''''

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha hivi karibuni alipata majanga baada ya kuanguka chooni na kuvunjika mguu wa kulia, Amani lina taarifa zote.Tukio hilo lilitokea nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar ambapo staa huyo alitoka kwenye matembezi yake...
Wednesday, 30 December 2015
UMEYA KINONDONI, ILALA MVURUGANO
Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, Salim Mwalimu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeng’amua mbinu za CCM kutaka kuwatumia mawaziri walioteuliwa na Rais kuwa wabunge, kushiriki vikao vya madiwani vitakavyochagua mameya wa Manispaa za Kinondoni na...
Lipumba Amtwika Zigo Dr Shein Mgogoro Zanzibar

Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kumaliza mgogoro wa Zanzibar.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema mgogoro wa Zanzibar utamalizwa kwa Dk...
Kubenea Akana Kumtukana Dc Makonda

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (44) amekana kumtukana Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda tarehe 14 Desemba 2015 walipokutana katika Kiwanda cha Tooku Garments Co. Ltd. kilichopo eneo la External Mabibo kwa madhumuni ya kutatua mgogoro kati ya wafanyakazi na uongozi...
Taasisi za Dini Zatajwa Kuhusika na Utoroshaji wa Makontena Bandarini

Mashirika ya dini ni miongoni mwa taasisi zilizotakiwa kuwasilisha nyaraka kwa ajili ya kuhakiki kama yalilipa ushuru wa bandari uliosababisha Serikali kupoteza Sh48 bilioni.
Uwapo wa taasisi hizo za kiimani kwenye sakata hilo ulibainishwa jana katika orodha ya iliyotangazwa...
Kamanda Suleiman Kova, Astaafu Rasmi Jeshi la Polisi Tanzania!

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, Ametangaza asubuhi ya leo katika kipindi cha kumekucha cha ITV kwamba anastaafu rasmi kazi yake ya Upolisi.Tunamtakia kila la heri huko aendak...
AZAM YAZIDI KUPAA LIGI KUU BARA BAADA YA KUICHAPA MTIBWA SUGAR KWA BAO LA 'JIONI'
Azam FC imezidi kupambana kwenda kileleni baada ya kuitwanga Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
Bao pekee la Azam FC lilifungwa na nahodha wake, John Bocco katika dakika ya 86 kwa mkwaju wa penalti.
Hata hivyo, Mtibwa Sugar...
PLUIJM KUTOA NAFASI KWA WASIOCHEZA WAKIPIGE KOMBE LA MAPINDUZI
Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm mpango wake mpya alionao sasa ni kujaribu kuwapa nafasi na kuwatumia baadhi ya wachezaji ambao wamekuwa hawapati nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo katika michuano ya Ligi Kuu Bara.
Lakini mkakati huo utaanza kutumika...
Kinondoni Moto: Uchunguzi Dhidi ya Mhandisi Mussa Natty wasuasua

Ni kama wahusika wametishwa na hatua ya wakinga-kifua wa Mhandisi Mussa Natty. Pamoja na kurejea Dar es Salaam, kutokea babati, kwa ajili ya uchunguzi dhidi yake kwa tuhuma zinazomkabili, hadi sasa Mamlaka husika zimeshindwa kuanza uchunguzi huo.Mhandisi Mussa Natty...
Serikali Kupeleka Sh. 18.77 Bilioni kila Mwezi shule za Sekondari na Msingi, kugharamia Elimu
SERIKALI imepanga kupeleka Sh. 18.77 bilioni kila mwezi katika shule za sekondari na msingi kwa ajili ya kugharamia elimu ili kutekeleza dhana ya elimu bure kuanzia Januari, 2016.
Taarifa hiyo ilitolewa Mjini Dodoma jana na Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...