Alejandra Omaña
Ruiz
|
‘Las promesas no se ha roto en Colombia, evidentemente’ Ndivyo
unavyoweza kusema baada ya mwanadada mmoja mwandishi wa habari kutoa ahadi ya
kukaa utupu na kuitimiza wiki hii baada ya timu anayoishabikia kupanda daraja.
Huyu ni Alejandra Omaña
Ruiz mwandishi wa habari wa jarida la
SoHo la mjini Bogota nchini Colombia ambaye alitoa ahadi ya kupiga picha utupu
na kuziweka katika jarida hilo endapo klabu yake ya Deportivo Cucuta ingepanda
daraja.
Alejandra Omaña
Ruiz
|
Timu ya Soka ya
Deportivo Cucuta imeshindwa kupanda daraja kwa miaka mingi ikiishia daraja la
kwanza na wakati mwingine daraja la pili.
Mwanadada Alejandra
anaipenda sana timu hiyo ambayo Januari mwaka huu walipambana katika fainali dhidi
ya Corporación Deportes Quindío na kushinda kibishi kwa mabao 2-1 hali iliyozua
utata lakini ilikuwa bahati ilikuwa ya Cucuta iliyopanda daraja.
Mashabiki walikuwa
wakisubiri nini atafanya mwanadada huyo anayefahamika sana jijini Bogota.
Alejandra alichora kwa peni
ya rangi katika tumbo chini kidogo ya matiti yake maneno yaliyosomeka ‘Cucuta Asciende’ ikiwa na maana ‘Cucuta juu zaidi’ akiwa amevalia jezi
yenye mistari ya rangi nyekundu na nyeusi (jezi maarufu ya Deportivo Cucuta).
Jarida la SoHo
lilianzishwa mwishoni mwa karne ya 20 (mwaka 1999) likijihusisha na kuweka masuala
mbalimbali ya wanawake zikiwemo picha za utupu za waigizaji wa kike na
utamaduni wa watu wa Colombia.
Gazeti hilo limekuwa
maarufu nchini humo kutokana na kuwa na mvuto kwa jinsi ya kiume, ambao
wanaonekana kuvutia sana na sehemu mbalimbali za wanawake wanapokuwa utupu.
Yawezekana hukuwahi
kusikia klabu ya Deportivo Cucuta au jarida la SoHo… sasa umeyajua haya hutaweza
kulisahau jarida hili na wahariri wake.
Alejandra Omaña
Ruiz
|
0 comments:
Post a Comment