Rais
wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla
kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es
salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika
march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za
kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa na kulia ni promota wa mpambano uho
Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais
wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla
kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es
salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika
march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za
kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa Picha na SUPER D BOXING NEWS
0 comments:
Post a Comment