Thursday 2 October 2014

MAJI YANDELEA KUWA TATIZO SUGU ( KULIKO MR II) JIJI DAR

Wauza maji wakiwa na mikokoteni yao maeneo ya Kimara Mwisho.(P.T)
Mikokoteni ya maji ikiwa imepakiwa kijiweni, eneo la Kinondoni, Manyanya.
Vijana wakiwa na mikokoteni ya maji maeneo ya Ubongo.
Mikokoteni ya maji ikiwa maeneo ya Makumbusho.
KAMERA ya GPL imefanikiwa kuzunguka katika baadhi ya viunga vya Jiji la Dar es  Salaam na kubaini huduma ya maji safi na salama bado ni tatizo, kutokana na kuwepo kwa vijiwe vingi vya kuuzia maji japokuwa ni moja ya ajira kwa vijana walio wengi.
(Picha/Habari na Gabriel Ng’osha/GPL)

Tuma Maoni

0 comments: