Friday 3 October 2014

ANGLIA PICHA ZA BIRTHDAY PARTY YA DIAMOND NA KUPEWA ZAWADI YA GARI


Diamond Platinumz jana usiku alisherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri wa miaka 25.
 


Sherehe hiyo ilifana ambapo mama yake mzani na mpenzi wake Wema Sepetu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria waliinogesha sherehe hiyo iliyomalizika majira ya saa kumi alfajiri.
 

Pamoja na zawadi nyingine, Menejiment ya Diamond ilimpa zawadi ya gari jipya aina ya BMW X6.
 
Angalia matukio katika picha zilizopigwa na Edwin Elinema wa Times Fm.
Diamond akionesha ufundi wa kupiga ngoma

Yamoto Band wakiwaburudisha waalikwa 
Gari alilopewa kama zawadi na menejimenti yake
Mama Diamond

0 comments: