Friday 3 October 2014

DI MARIA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA MAN UNITED

 
Kiungo mpya wa Man United, Angel Di Maria ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Man United.

Pamoja na kupata asilimia 23 ya kura huku akilingana na Rafael, lakini badaye alishinda zaidi kwenye kura za mtandao

0 comments: