Kwa mujibu wa Kocha wa Real Carlo Ancelotti, Ronaldo yuko fiti na atacheza.
Ronaldo aliichezea Real Mechi ya kwanza ya La Liga walipoifunga Cordoba 2-0 na yeye kufunga Bao lakini hakucheza Mechi iliyofuatia waliyofungwa 4-2 na Real Sociedad.
Msimu huu Real na Atletico zimeshakutana kwenye Mechi za kufungua dimba kugombea Copa de Espana ambazo walitoka 1-1 Santiago Bernabeu na Atletico kushinda kwao Vicente Calderon 1-0.
Ancelotti ametoboa kuwa Javier Hernández, ‘Chicharito’ atacheza Mechi hiyo akitokea Benchi.
LA LIGA
RATIBA:
**Saa za Bongo
Ijumaa Septemba 12
2200 UD Almeria v Cordoba
Jumamosi Septemba 13
1700 FC Barcelona v Athletic de Bilbao
1900 Malaga CF v Levante
2100 Real Madrid CF v Atletico de Madrid
2300 Celta de Vigo v Real Sociedad
Jumapili Septemba 14
1300 Rayo Vallecano v Elche CF
1800 Valencia v RCD Espanyol
2000 Sevilla FC v Getafe CF
2200 Granada CF v Villarreal CF
Jumatatu Septemba 15
2145 SD Eibar v Deportivo La Coruna
0 comments:
Post a Comment